Ripoti ya awali ya kupatikana kwa mabaki hayo ilithibitisha kuwa miili mitatu imepatikana, na miili 7 iliyosalia inaaminika kuwa bado iko kwenye ndege.
Mabaki ya ndege hiyo ya abiria yalipatikana takriban maili 34 kusini mashariki mwa Nome kwenye theluji.
Soma makala iliyotangulia hapa: